Monday, May 30, 2011

Mwisho

I was looking at Nicholas Shiraku's drawing.............. and got inspired to write Mwisho. A story of a girl, who loved a man so much, she even got pregnant thinking that it would be a reason for him to stay with her but... he didn't!




Mapenzi nimeshiba
Nimeona hayana tiba
Nimejitia kwa shida
Nikikubebea mimba
Sasa nalia msiba
Uchungu unanilemea na moyo umenivunja

Ukaniumiza uliposema nimekuwekea mtego
Ukavibeba vyote vyako na kujionyesha mlango
Ukajiona mwiko, kunilisha maringo
Nimebaki na kilio nikilia mwisho!
Kweli pendo lina mwisho…
Mwisho!




© Namatsi Lukoye

No comments:

Post a Comment

The girl the world turned from - Owefu Part 3

The Girl the World Turned From Ayuna (not her real name) is a girl with a golden smile. She shakes my hand and sits next to me smiling she d...